Joshua 23:3

3 aNinyi wenyewe mmeona kila kitu Bwana Mwenyezi Mungu wenu, alichowatendea mataifa haya yote kwa ajili yenu. Ilikuwa ni Bwana Mwenyezi Mungu wenu aliyewapigania.
Copyright information for SwhKC